NJIA HII ITAKUPONYA MARADHI YA KUHARISHA NDANI YA DAKIKA 1 TU. 

Ni muhimu kujiandalia chakula chako mwenyewe kwa sababu za kiafya. 

Advertisements

Wengi wetu tumewahi kupatwa na adha na usumbufu mkubwa wakati fulani maishani unaoletwa na maradhi ya ghafla ya tumbo.

Maradhi ya tumbo ni kielelezo cha hali mbalimbali kulingana na jinsia, lakini leo nitalenga sababu mojawapo inayoweza kuleta maradhi ya tumbo – USAFI WA KILE TUNACHOKULA

Ni tabu iliyokithiri

Ni muhimu kujiandalia chakula chako mwenyewe kwa sababu za kiafya. Lakini inapotokea umekula chakula au kinywaji kichafu na ukapata maradhi ya tumbo na kuharisha mfululizo basi njia ya haraka ya kuondoa adha hiyo siyo nyingine bali ni CHUMVI. 

NDIYO. Kisayansi inaitwa kloraidi ya sodiamu ambayo tumekuwa tukiitumia kwa karne nyingi kuungia vyakula vyetu na pia kuvitunza. Kwani tabia zake za kikemikali zinaifanya kampaundi hii isiwe rafiki kwa vijidudu vya magonjwa kama bacteria na fangasi. 

NAMNA YA KUITUMIA KUONDOA MARADHI YA TUMBO NA KUHARISHA MARA MOJA. 

Kwa matumizi ya haraka utahitaji chumvi kama gramu tatu (vijiko vitatu vya chakula ambavyo havijajazwa sana) na mililita 250 au pungufu kidogo za maji safi ya kunywa. Changanya na koroga na utaona rangi ya maji imebadilika na kuwa na rangi ya chaki kiasi,hapo tiba itakuwa tayari. 

Kielelezo cha namna mchanganyiko wa chumvi na maji unaweza kufanyika.

Jikaze na kunywa mchanganyiko wote kutoka kwenye glasi uliyochanganyia. Kuziba pua wakati wa unywaji husaidia kwa kuepusha kutapika. Sukutua kwa maji safi na salama mdomoni baada ya kunywa na unaweza ukatema au ukameza kulingana na jinsi unavyojisikia kuhusu chumvi uliyokunywa. 

MAPENDEKEZO 

– unaweza kupunguza kiwango cha chumvi kutoka gramu 3 hadi 1 kwa mililita 250 za maji ya kunywa. Ila itachukua muda mrefu zaidi kufanya kazi. 

– unaweza kuongeza na sukari katika mchanganyiko wa dawa hii. 

– tumia mapema pale tu unapohisi tumbo la kuhara limeanza. 

– usitumie tiba hii kuzuia tumbo la kuharisha lililoletwa na utumiaji wa HALULI au LAXATIVES – kemikali zinazoleta kuharisha kwa lazima. Kwani utapoteza maji mengi zaidi kuliko ilivyokusudiwa. 

– unaweza kusimamisha kula kwa milo inayofuata baada ya kutumia mchanganyiko huo wa chumvi ili kuruhusu tumbo kujisafisha kwanza kabla hujala tena. 

ANGALIZO KIAFYA! 

Chumvi hupelekea upungufu wa maji mwilini uliokithiri (dehydration) . Hivyo unashauriwa unywe maji mengi baada ya saa 1 kupita. Ili kurudisha kiasi cha maji ambacho kitapotea kutokana na mwili kuiondoa chumvi hiyo mwilini mwako kupitia takamwili. Na pia kunywa maji mengi kutasaidia figo zifanye kazi ya kuchuja damu vizuri na kuziepusha na msongo utakaopelekea kuua tishu za figo (renal failure).  JALI AFYA YAKO